TUNGO ZETU
Ni Simulizi za Kiafrika kwa Waafrika, blog inayokuletea Hadithi na machombezo tofauti kutoka kwa wataalamu wa Utunzi. Kwa watumiaji wa blog hii kama mdau unaweza kutuma hadithi yako na kuwekwa hapa kwa ajili ya kusomwa na wadau.Pamoja na blog hii, pia kuna Ukurasa wa facebook wa TUNGO ZETU ambao unaendelea kutoa burudani kwa wadau wake.
Hapa tunakusogezea karibu namna ya kutupata kwa urahisi kama TUNGO ZETU ili uweze kupata ladha za hadithi mbalimbali na machombezo ya kusisimua kila siku.
Tuwe pamoja wadau.
Mjulishe na mwenzako.

No comments:
Post a Comment